Ni July 27, 2016 ambapo headlines zinamilikiwa na Mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule aka Professor Jay kwa kuachia single yake mpya iitwayo Kazi Kazi aliyomshirikisha Sholo Mwamba.
Unaweza ukabonyeza HAPA Kuudownload kisha sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
Unaweza ukabonyeza HAPA Kuudownload kisha sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
Post a Comment