Hit maker wa single ya Nitazoea kutoka 88.1 Mwanza Mo Music ameachia single yake mpya iitwayo Ado Ado iliyotayarishwa na D-Classic katika studio za High Table Sound inayomilikiwa na Barnaba.
Unaweza ukabonyeza HAPA kisha sio mbaya ukituachia na comment yako mkali huyo akipita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
Post a Comment