Kambi
maarufu mjini ya Ukapera inatarajia kupata pigo la mwaka pale member
wake mahiri na wa muda mrefu, mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe
atakapoigika kibuti rasmi.
Zitto amemchumbia msichana mrembo anayetarajia kumbadilisha jina soon kuwa ‘Mrs Kabwe.’
Picha za mbumbe huyo akimvisha pete msichana huyo mbele ya ndugu na jamaa zimesambaa mtandaoni wiki hii.
Kuna
picha moja inayoonesha kuwa ni post ya Instagram aliyoiweka Zitto
ambapo aliandika: So Beautifu and full of love. I love you.
Post a Comment