Idadi wa watumishi hewa nchini imeendelea kuongezeka ambapo takwimu za jana zinaonyesha kuwepo kwa watumishi hewa 10,295
Akizungumza
leo wakati wa maadhimisho ya sherehe za Mei Mosi, Rais wa Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Dr John Pombe Magufuli amesema kati ya watumishi
hao hewa, 8,373 wanatoka Tamisemi na watumishi 1.922 wanatoka serikali kuu.
Amesema watumishi hao walikuwa wakiligharimu taifa sh. Bilioni 11.6 kwa mwezi sawa na Bilioni 139 kwa mwaka.
Post a Comment