Polisi nchini Ufaransa wametumia
vitoa machozi kuwatawanya wafanyikazi wanaondamana na kufunga kiwanda
cha kusafisha mafuta katika mji wa Marseille.
Maandamano hayo ni sehemu ya misururu ya maandamano ya kupinga sheria mpya za kazi.
Vyama vya wafanyikazi vinasema kuwa mishahara katika viwanda vya mafuta itapungua kwa takriban asilimia 50, kutoka na mzozo na mgomo wa madereva wa malori na vitua vingi vya mafuta kote Ufaransa sasa vinaishiwa na mafuta.
Post a Comment