Hotuba ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani ya Msemaji Mkuu wa Wizara ya Mambo Ndani ya Nchi, Godbless Lema imezuiliwa kusomwa.
Imezuiliwa kusomwa mpaka kwanza kamati ya Kanuni ya Bunge iipitie hotuba
hiyo kabla ya kusomwa bungeni ili kuangalia kama hotuba hiyo imekiuka
kanuni za Bunge.
Post a Comment