0



Kundi la pili la viongozi na waandishi wa habari, wameungana na wachezaji wa Yanga walio katika mjiwa Dundo.

Msafara wa Yanga uligawanyika mara mbili jana mara tu baada ya kutua katika jiji la Luanda.


Baada ya hapo, wachezaji, makocha na viongozi wachache walisafiri kwenye mji mdogo wa Dundo ambao timu ya Sagrada Esperanca ambayo wanaivaa kesho katika mechi ya Kombe la Shirikisho.

Yanga walikutana na figisu za hapa na pale baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Luanda.

Post a Comment

 
Top