Huku Instagram picha hizo mbili zimekuwa gumzo leo baada ya Mama mtoto
wa Diamond kwasasa Zari Hassan na aliyekuwa mumewe Ivan Kuonekana
wamepiga picha sehemu moja inayofanana kwenye sehemu ya kuogelea..Picha
hizi zimeleta wasiwasi kuwa huenda wawili hao walikuwa
pamoja wakiogelea
huku wengine wakimtetea Zari na kusema kuwa yeye alikuwa hiyo sehemu
siku nyingi lakini Ivan ameenda sehemu hiyo hiyo na kupiga picha na
kuzitupia mtandaoni leo kumuumiza Diamod na kuwapa watu cha kuongea
Post a Comment