April 3 2016 Yanga walikuwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kucheza dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2015/2016, katika mchezo huo Yanga walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-1.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa
Post a Comment