WACHEZAJI NA VIONGOZI WA AL AHLY WAKIWASILI KWENYE HOTELI WATAKAYOISHI HADI WATAKAPOONDOKA HAPA NCHINI.... |
Kikosi
cha Al Ahly kimetua nchini tayari kuwavaa Yanga katika mechi ya Ligi ya
Mabingwa Afrika itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam, Jumamosi.
Kikosi kizima chini ya Kocha Mholanzi, Martin Jol kimewasili nchini saa 12 asubuhi tayari kwa maandalizi ya mwisho.
Wachezaji
wa Ahly walionekana kuwa wagumu kuzungumza na waandishi. Waliingia
kwenye basi na kuanza safari ya kwenda kwenye Hoteli ya Kilimanjaro
Kempensky walipofikia.
KOCHA JOL... |
Post a Comment