0
MAREHEMU MALDINI (KULIA) WAKATI WA UHAI WAKE AKIWA NA MWANAYE, PAOLO MALDINI
Beki wa zamani wa AC Milan na kocha wa timu ya taiga ya Italia, Cesare Maldini amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84.

Maldini ambaye ni baba wa beki wa zamani wa AC Milan, Paolo Maldini alianza kuitumikia timu hiyo kuanzia mwaka 1954 hadi 1966.

Beki wa zamani wa AC Milan na kocha wa timu ya taiga ya Italia, Cesare Maldini amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84.

Maldini ambaye ni baba wa beki wa zamani wa AC Milan, Paolo Maldini alianza kuitumikia timu hiyo kuanzia mwaka 1954 hadj 1966.

Post a Comment

Top