Timu ya kandanda ya
akina dada ya Equatorial Guinea imetimuliwa na shirikisho la kandanda
duniani FIFA kutoka kwa mechi za kufuzu kwa mashindano ya Olimpiki ya
mwaka 2020, baada ya mchezaji wake mmoja kuwasilisha tarehe tofauti za
kuzaliwa.
Shirika la Kandanda la Equatorial Guinea limepigwa faini ya dola 40,000. Huku De Oliveira akipigwa faini ya pauni 1,475 na marufuku ya mechi kumi.
Post a Comment