Rnais Muhammadu Buhari 
Rais wa Nigeria 
Muhammadu Buhari anafanya ziara nchini China ambapo anatarajiwa kutia 
sahihi mikataba kadha ya kibiashara na uwekezaji baadaye wiki hii.
Tangu achukue hatamu za uongozi mwaka uliopita, kiongozi huyo wa Nigeria amekuwa akifanya ziara kujaribu kuinua uchumi wa nchi hiyo ambao umeathirika kutokana na kushuka kwa bei ya mafuta duniani.
Anataka kutumia pesa hizo kuboresha miundo msingi ya nchi hiyo iliyochakaa na kuwekeza kwenye kilimo.


Post a Comment