Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana amepiga marufuku uvutaji wa kilevi aina ya shisha unaoendelea kwenye mahoteli yote mkoani hapa akisema ni sehemu ya matumizi ya dawa ya kulevya. Rugimbana ametoa kauli hiyo leo (Jumatano) mjini hapa kweny…
MAMBO Yazidi Kumwendea Mrama JAMAL Malinzi Rais wa TFF, Hicho Ndio Kilichojiri Baada ya Takururu Kumkamata
Jamal Malinzi JAMAL Malinzi (57), Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kufikishwa mahakamani mchana huu jijini Dar es Salaam, kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka.Taarifa kutoka ndani ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini…
Mkurugenzi wa Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Amtoa Machozi Rais Magufuli......Ni Baada ya Kufariki Ghafla Akiwa Ofisini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Joseph Pombe Magufuli amesema amepokea kwa mshtuko mkubwa kifo cha Mkurugenzi Mkuu wa benki ya AFDB Dkt Tonia Kandiero kilichotokea usiku wa jana, na kusema kwamba ni mtu aliyechangia maendeleo Tanzania.…
MAAJABU? Ng’ombe katobolewa tumbo lakini bado anatembea (+Video)
Kadri siku zinavyoendelea kuhesabika ndio wengine pia tunaendelea kushuhudia vitu vipya au kusikia vitu kwa mara ya kwanza na hii inatokea Morogoro Tanzania ambapo baada ya hivi karibuni kusambaa clip ikionesha ng’ombe waliotobolewa tumbo na bado wa…
PICHA 10: Nje ya Makao Makuu ya Jeshi la Polisi baada ya Lowassa kuripoti
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana June 26 2017 alipata wito kutoka kwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumtaka kufika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano. Asubuhi ya leo June 27, 2017 m…
Usitupe taka ovyo kama huna milioni moja
Dodoma. Kama huna Sh1 milioni, hakikisha unatii sheria za nchi ili usijikute jela. Bunge limepitisha Muswada wa Fedha 2017 ambao unatarajiwa kuanza kutumika Julai Mosi. Nyingi ya adhabu zilizomo kwenye muswada huo, zinatoza faini ya kati ya Sh 200,0…
Salah avunja rekodi ya dau la usajili Liverpool
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES/LIVERPOOLImage captionSalah amepewa jezi namba 11 aliyokua akivaa Roberto Firmino ambae kwa sasa atavaa jezi namba 9 Liverpool wamekamilisha dili la usajili winga Mohamed Salah, kutoka As Roma ya Italia, kwa dau la P…