0



Wengi ambao hamkuwahi kuiona au kufahamu kama kuna nchi duniani ina noti ya trillioni 100, hii hapa imetoka kule kwa Mugabe (Zimbabwean dollar), ingekua ni US dollar hii noti basi ingekua kubwa kuliko jumla GDP yetu tangia tupate uhuru mpaka sasa hivi.


update 1:
naona wengi mnataka kujua thamani ya hii pesa. ok ipo hivi.

100 trillion zimbabwean dollar = 0.4 US dollar

na kwa hela ya kwetu ni sawa na tsh 850.

Update 2:
Zimbabwe haitumii tena Zimbabwean Dollar, wameamua ku adopt US dollar (USD) baada ya kuona haiwezi tena ku control hyper-inflation ya pesa yake (ZIM Dollar).

Post a Comment

 
Top