Home
»
BURUDANI
» VIDEO: ‘Ndani ya kipindi changu fyatueni watoto wa kutosha’- Rais Magufuli
August 12 2016 Rais wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli alikutana na wakazi waDar es salaam na kuzungumza nao kuhusu maendeleo ya nchi lakini hakuacha kukumbushia lengo lake kuu la kuruhusu elimu bure kwa kila mwanafunzi wa Tanzania kuanzia darasa la kwanza hadi sekondari.
Post a Comment