Barcelona superstar Neymar ameanza mazoezi na timu ya Olympics ya Brazil kuelekea kwenye mecho yao Jumanne ijayo.
Neymar na timu hio wanafanya mazoezi kwenye uwanja wa Granja Comary complex akiwa na wachezaji wakubwa kama Douglas Costa, Renato Augusto,GrĂªmio volante Walace.

Post a Comment