AJALI>Basi la UDA laigonga treni eneo la gerezani kariakoo Dar 10:11 AM Unknown 0 MATUKIO A+ A- Print Email AJALI: Basi la UDA Laigonga Treni Eneo la Gerezani - Kariakoo, Dar Ajali mbaya sana imetokea jana Kariakoo Gerezani, watu sita wamepoteza maisha papo hapo akiwemo konda wa kampuni ya Uda dereva kakimbia baada ya basi hilo kugongana na Treni...Mungu awalaze mahali pema wote waliopoteza maisha
Post a Comment