Kupitia Twitter yake Diamond aliandika kuhusu ngoma itayowakutanisha
wakali wawili ambao ni Harmonize wa Tanzania na Korede wa Nigeria, sasa
AyoTV imempata kwenye Exclusive Interview na kuelezea ambapo pia
muonekano wake ulionekana ukiwa na mabadiliko ya meno ya Gold, tazama
hii video hapa chini:
Post a Comment