Leo jioni timu ya Simba imekubali kichapo kitakatifu toka kwa timu ya
Mwadui ya Shinyanga inayofundishwa na Kocha wa Zamani wa Simba
Julio..Kichapo hicho cha goli moja bila goli lililofungwa na Mchezaji
Jamal Mnyate Dakika ya 73 linaifanya Yanga Kutangazwa Mabigwa wa ligi ya
Vodacom kwa vile hakuna timu inayoweza kufikisha point alizonazo
Yanga....
Post a Comment