Mchezo wa nusu fainali kati ya Andy Murray na
Richard Gasquet umesogezwa mpaka siku ya Jumatano kutokana na hali mbaya
ya hewa. Mchezaji huyo namba moja wa Uingereza hapo awali alikiri kuwa
mvua kali inayoendelea kunyesha isingeweza kumzuia kuingia dimbani
lakini haikuwa hivyo. Mvua zinatarajiwa kupungua katika jiji la Paris
baada ya siku mbili. Mvua hizo kubwa
\
zimesababisha droo ya mzunguko wa nne kwa wanaume na wanawake iliyotarajiwa kufanyika siku ya jumatatu kusogezwa mpaka Jumatano.
\
zimesababisha droo ya mzunguko wa nne kwa wanaume na wanawake iliyotarajiwa kufanyika siku ya jumatatu kusogezwa mpaka Jumatano.
Post a Comment