Umoja wa mataifa
unasema kuwa kutumiwa kwa watoto kama washambuliaji wa kujitoa mhanga na
kundi la wanamgambo wa Boko Haram nchini Nigeria, imeongezeka tangu
mwaka uliopita.
Inaripotiwa kuwa washambuliaji watano wa kujitoa mhanga sasa ni watoto huku robo tatu wakiwa na wasichana.
UNICEF inasema kuwa wasichana hao wakati mwingine huleweshwa, kisha hufungwa milipuko kwenye miili yao na kulazimishwa kufanya mashambulizi.
Post a Comment