Mtoto mmoja wa
kiume amekwama kwenye uwanja wa ndege wa Charles de Gaulle mjini Paris
nchini Ufaransa, tangu tarehe 21 mwezi machi baada ya kushindwa kuingia
nchini ufaransa wala kurudi nyumbani.
.
Wakili wa kikundi kinachowatetea watoto aliiambia BBC kuwa wanapinga kurudishwa kwake nyumbani siku ya Jumapili.
Aliongeza kuwa wanataka kubainia ni kiyume cha sheria kumzuia mtoto huyo.
Post a Comment