Mahakama moja nchini Misri imemhukumu waziri wa zamani wa kilimo miaka 10 gerezani kwa kushiriki ufisadi.
Aidha wawili hao walipigwa faini kubwa kufuatia upande wa mashtaka kupata ushahidi wa mfanyibiashara husika.
Waziri huyo wa zamani alikamatwa muda mchache tu baada ya kujiuzulu mnamo mwezi Septemba mwaka uliopit
Kashfa hiyo ilisababisha kuporomoka kwa serikali ya waziri mkuu bwana Ibrahim MahlfBoth.
Mfanyibiashara huyo na mpatanishi wake walisamehewa kifungo baada ya kukubaliana na mahakama kutoa ushahidi dhidi ya waziri.
Post a Comment