Hospitali moja
nchini Kenya imeahidi kuwalipia matibabu wagonjwa wa saratani kutoka
nchini Uganda kufuatia kuharibika kwa mashine inayotibu ugonjwa huo
nchini Uganda.
Serikali ya Uganda tayari ilikuwa imetangaza kuwa itawasafirisha wagonjwa hao kupata matibabu nchini Kenya.

Post a Comment