Mwanamuziki Ndanda Kosovo anazikwa leo jijini Dar es Salaam.
Ndanda aliyekuwa maarufu kama Kichaa akiwa na FM Acadmia, alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa vidonda vya tumbo.
Picha hizi ni kuanzia nyumbani hadi makaburini Kinondoni jijini Dar es Salaam wakati wa mazishi yake.
WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO, NAPE NNAUYE (KUSHOTO) NA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, PAUL MAKONDA. |
TOTOO ZE BINGWA AKIZUNGUMZA NA NAPE.. |
Post a Comment