Mshambulizi wa Real
Madrid na Ufaransa Karim Benzema, amepigwa marufuku ya kutoshiriki
mashindano ya Euro2016 yanayotarajiwa kuanza mwezi Julai mwaka huu.
Aidha FFF linasema kuwa kuwepo kwake hakutatoa picha nzuri kwa mamilioni ya watu wanaomtazama.
Benzema alipigwa marufuku mwezi Desemba mwaka uliopita baada ya kupatikana na hatia ya
Mshambuliaji huyo anachunguzwa kwa madai kwamba alihusika katika njama ya kutishia na kudai pesa kutoka kwa mchezaji mwenzake wa Ufaransa Mathieu Valbuena.
Nyota huyo wa Real Madrid amekanusha madai hayo.
Kocha wa timu ya Ufaransa Didier Deschamps,ameiambia shirikisho la FFF kuwa anahofia Benzema ataidhuru motisha ya timu yake.
Post a Comment