Dubai ni mji ambao kwa sasa watanzania wengi wanaenda kwa ajili ya kufanya biashara mbalimbali, Dubai
umekua kwa haraka zaidi kutokana na kuweka vizuri njia za ukusanyaji wa
mapato na ni mfano ya mji ambao Uongozi wake unafanya kazi kwa kuwa
baada ya miaka 25 macho ya Dunia nzima yamehamia Dubai.
Dubai
wameelezea mipango yao zaidi kwenye mji huo ambapo maeneo ya makazi
mapya, Dubai Creek Harbour yatauzunguka mjengo mrefu ambao bado
haujapatiwa jina lakini nickname yake ni ‘the needle‘. Mjengo huo utakuwa mrefu kuzidi uliopo wa Burj Khalifa wenye 2,717 ft na umepangwa kujengwa 2020.
Post a Comment