HTV NEWS

Habari motomoto masaa 24

Herry Mlay@2013. Theme images by i-bob. Powered by Blogger.
Menu
  • Home
  • HABARI
  • SPORTS
  • ENTERTAINMENT
    • Music
    • Video
    • Sub Menu
    • Sub Menu
  • POLITICS
  • FEATURES
  • VIDEO
  • MAGAZINE
  • OUR SERVICES
    • Sub Menu
    • Sub Sub Menu
    • Sub Menu
    • Sub Menu
  • CONTACT US
Home » » Unlabelled » Chama chatishia kumuondoa Zuma madarakani

Chama chatishia kumuondoa Zuma madarakani

1:55 PM Unknown 0
A+ A-
Print Email

                                                               Rais Jacob Zuma
Chama cha Democtratic Alliance nchini Afrika Kusini kumeanzisha kampeni ya kumuondoa rais Jacob Zuma madarakani baada ya mahakama ya kikatiba kutoa uamuzi kuwa alikiuka katiba.

Mahakama ilipata kuwa bwana Zuma alikataa kutii agizo kutoka kwa ofisi ya mwendesha mashtaka mkuu mwaka 2014 la kamtaka alipe pesa zilizotumika kuifanyia ukarabati nyumba yake ya kibinafsi.
Vyama viwili vya upinzani viliwasilisha kesi hiyo mahakamani ili kumlazimu rais Jacob Zuma kuzingatia matokeo ya uchunguzi yaliofanywa na mkaguzi wa hesabu za serikali, kwamba alihusika na mabadiliko yaliofanyiwa nyumba yake ya Nkandla.

Mamilioni ya madola yalitumika katika kile kilitajwa na serikali kuwa uimarishaji wa usalama. Marekebisho hayo yalishirikisha ukumbi,kidimbwi cha kuogelea na zizi la ngombe
Copyright © 2016 BBC. BBC Haiwajibiki kwa taarifa kutoka tovuti zisizo zake.

Share to:

Next
Newer Post
Previous
Older Post

Post a Comment

ijonkzmkrdezign
218168578325095

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TANGAZO


.

[Sports][verticalslide][recent][10]

  • BURUDANI
  • habar
  • HABARI
  • KIBONZO
  • MAAGAZET
  • MAGAZET
  • MAGAZETI HIILEO
  • MAKALA
  • MATUKI
  • MATUKIO
  • mic
  • MICHEZO
  • TUKIO
  • UCHUMI
  • VIDEO
  • YUKIO

[Video][simple][recent][5]

  • BURUDANI
  • habar
  • HABARI
  • KIBONZO
  • MAAGAZET
  • MAGAZET
  • MAGAZETI HIILEO
  • MAKALA
  • MATUKI
  • MATUKIO
  • mic
  • MICHEZO
  • TUKIO
  • UCHUMI
  • VIDEO
  • YUKIO

Popular Posts

  • Tai Ni Ndege, Ana Mambo Saba (7) Tofauti Na Ndege maajabu makubwa haya apa
    Kuna aina nyingi za ndege aitwaye tai, mfano kuna tai mwenye mkia mweupe, kuna tai wa rangi ya dhahabu, kuna tai wa Ufilipino na...
  • Makundi ya Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho Afrika yamepangwa, Yanga yupo Kundi A
    Baada ya kumalizika kwa hatua ya mtoano ya michezo ya Kombe la Shirikisho na Klabu Bin...
  • RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 1 & 2
    Ningependa Kukushukuru Mpenzi Msomaji, Uliyekuwa Nasi Katika Simulizi Ya Kwanza Ya Mwanafunzi Mchawi.  Hiyo Riwaya bado inaendelea na ...
  • Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete imeokoa hizi milioni ambazo zingetumika kwa matibabu nje
    Taasisi ya Moyo...
  • Odinga amtembelea Rais Magufuli, Chato
    Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga akiwasili kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Chato Mkoani Geita kwa ajili ya kwen...
  • ALIYEMCHEZEA NA KUMFANYIA UTANI NKURUNZIZA AKAMATWA
      ...
  • Nuh Mziwanda: Miaka Mitatu ya Kuwa na Shilole Imenipoteza Mambo Mengi
    Nuh Mziwanda amedai katika miaka mitatu aliyokuwa na uhusiano na Shilole amepoteza mambo mengi. Akiongea na Bongo5 Nuh ames...
  • Mahakama yawambogo kesi ya Godbless Lema......Yahoji sababu za mbuge huyo kunyimwa dhamana.
    Mwenyekiti wa kikao cha jopo la Majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa, kinachoendelea Arusha, Bernard Luanda, leo ...
  • RIWAYA: Sorry Madam - Sehemu ya 3 & 4
    Umri: 18+ Mtunzi:Eddazaria G.Msulwa   ILIPOISHIA Nilizungumza kwa kujishtukia huku karoti yake ya bandia nikiificha k...
  • Rwanda yataka ufafanuzi kuhusu kifo cha waziri
                                 Jacques Bihozagara alihudumu wakati mmoja kama balozi Ubelgiji ...
 

tangazo

tangazo

..

..

.

.
HTV NEWS © 2013. All Rights Reserved.
Designed by HERITENSON MLAY
Top