Mtu wangu
kama ni mpenzi wa kufuatilia vitu vinavyotrend duniani basi hii
isikupite, May 09 2016 nimekuwekea list 10 ya magereza ya kifahari
Duniani. Baada ya picha nimekuwekea video unaweza kuitazama na usisahau
kuniachia comment yako.
10 Gereza la Wandsworth, London Uingereza9 Gereza la Onomichi, Japan
8 Gereza la Santa Ana, Califonia, USA
7 Gereza la San Antonio, Venezuela
6 Gereza la Aranjuez, Spain
5 Justice Centre, Austria
4 Gereza la HMP Addiewell, United Kingdom
3 Gereza la Qincheng, China
2 Gereza la Bastoy, Norway
1 Gereza la Halden, Norway
Post a Comment