Rais wa Somalia
ametaka kuwepo kwa njia mwafaka ya kuwarejesha nyumbani wakimbizi kutoka
taifa lake,huku Kenya ikisisitiza kuwa itaendelea na mpango wake ya
kuifunga kambi kubwa duniani.
Rais Hassan Sheik Mohamed aliambia BBC kuondolewa kwa lazima kwa wakimbizi hao hakutasaidia maslahi ya taifa lolote.
Kenya inasema kuwa inataka kufunga kambi hizo kutokana na wasiwasi wa kiusalama ,ikidai kuwa mashambulio katika ardhi yake hupangwa katika kambi hiyo.
Post a Comment