Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Balozi wa Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon Kochanke Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Balozi wa Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon Kochanke wakati
wa mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi
wa Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon Kochanke akimkabidhi Kitabu
kinachohusu masuala mbalimbali ya Ujerumani Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kumaliza mazungumzo
yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon Kochanke mara baada ya
kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Ikulu Balozi wa Uturuki hapa nchini Yasemin Aralp
aliyefika kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Rais Dkt. Magufuli.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Balozi wa Denmark hapa nchini Eina Hebogrd Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Denmark hapa nchini Eina Hebogrd mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax Ikulu jijini
Dar es Salaam. Dkt. Stergomena alifika Ikulu kwa ajili ya kufanya
mazungumzo na Rais Dkt. Magufuli.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax
pamoja na Maafisa wengine kutoka Ikulu na Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Balozi wa Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon
Kochanke pamoja na ujumbe wake. Wengine katika picha ni Maafisa
mbalimbali kutoka Ikulu.
Post a Comment