"Tunawashukuru sana wa matopeni kwa kutubeba, hii inadhihirisha ni jinsi
gani wanatupenda, bahati nzuri hata sisi tunabebeka, unajua unapobebwa,
yule anayekubeba sharti achutame halafu unayebebwa unampandia juu, juu
ya mgongo, Simba wametubeba kwa kutupa ubingwa"
Je, unakubaliana na kauli hii ya msemaji wa Yanga?
Post a Comment