Kitambi ni ile hali ya tumbo kuwa kubwa na kuchomoza kwa mbele na wakati mwingine kufikia hatua ya kunin’ginia.
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA
Kwa
mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, mwili wa binadamu una
seli kati ya bilioni 50 hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika
sehemu mbalimbali za mwili wa binadamu.
Kwa wanawake seli hizo zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye nyonga, kiunoni na kwenye makalio.
Kwa upande wa wanaume seli hizo zinapatikana sana kwenye kifua, tumboni na kwenye makalio pia.
Mafuta ya tumbo yanayofanya kitambi hukusanywa kwa njia kuu mbili:
i.Njia ya kwanza ni mafuta kutoka kwenye tishu zilizo chini ya ngozi
ii.Na njia ya pili ni kutoka kwenye ogani za ndani kama moyo, kongosho n.k
SABABU ZA KUPATA KITAMBI
Sababu
kubwa ya kitambi ni kukosekana ulingano wa nguvu(kalori) katika mwili
wa mwanadamu, hali inayo sababishwa na mtu kula vyakula
vinavyotia nguvu sana kuliko jinsi anavyoweza kutumia na kutoa kama taka
mwili.
VYAKULA VINAVYO CHANGIA KULETA KITAMBI
Vyakula vinavyochangia kuleta kitambi ni pamoja na :
i.Vyakula
vyenye mafuta mengi kama vile nyama nyekundu (iwe ni ya
kuchemsha, kukaanga au kuchoma), nyama ya kuku wa kizungu ( iwe
ya kuchemsha, kukaanga ama kuchoma ), mafuta ya kupikia, (hasa yale
yatokanayo na bidhaa za wanyama, kama siagi, na jibini), viazi ya
kukaanga kwa mafuta (chips) pamoja na pizza.
ii.Vyakula vyenye wanga mwingi kama vile ugali wa mahindi, mihogo, wali, mkate mweupe.
iii. Vyakula na vinywaji vyenye sukari nyingi iliyo ongezwa( added sugar ), kama vile soda na keki.
iv.
Vyakula vilivyo tengenezwa kwa ngano na sukari kama vile keki,
skonzi, chapatti, maandazi, mkate mweupe nakadhalika
v. Pamoja na vinywaji vilivyo tengenezwa kwa kutumia ngano kama vile bia za aina mbalimbali na kadhalika.
Vyakula
vilivyo tajwa hapo juu, vikitumiwa bila kuzingatia kanuni za
mlo kamili, huchangia kuleta tatizo la kitambi.
vi. Sababu nyingine ni kutofanya mazoezi ya mwili na viungo( physical exercises ) kwa muda mrefu.
JINSI YA KUJUA KAMA UNA KITAMBI
Kitambi
kinaweza kuonekana kirahisi kwa macho. Ila kujua ni kwa kiwango gani
kitambi chako kipo inabidi kufanya vipimo vya kiuno(waist) na nyonga
(hips).
Mzingo
wa kiuno ukiwa >102 cm au 40 kwa wanaume na >88 cm au 35 kwa
wanawake, na uwiano wa kiuno na hips(Waist-Hip Ratio) ikiwa >0.9 kwa
wanaume na >0.85 kwa wanawake.
BMI
ya 30 au zaidi inaashiria 'Obese' uzito kuzidi kiasi. Kuwa na mzingo
uliozidi kawaida ni kiashiria hatari cha matatizo ya kimetaboliki,
kuliko hata cha BMI.
Kipimo
kingine cha kitambi ambacho kimeonyesha uwezo zaidi kuliko BMI katika
kutabiri uwezekano mkubwa wa magonjwa ya moyo ni Index Of Central
Obesity(Waist-To-Height Ratio-WHtR) ambapo uwiano ukiwa sawa na 0.5 au
zaidi, hii ikimaanisha mzingo wa kiuno angalau ni nusu ya kimo cha mtu.
Kipimo kingine ni Body Volume Index, kinachopima kitambi kwa kupima umbo la mtu na mgawanyo wa uzito wake.
MAMBO YANAYO MUWEKA MTU KATIKA HATARI YA KUPATWA NA KITAMBI
Tumekwisha
ona hapo juu jinsi kitambi kinavyo patikana na vyakula pamoja
na sababu nyinginezo zinazo sababisha kutokea kwa kitambi, sasa
tutazame mambo yatakayo kufanya uwe katika hatari ya kupatwa
na kitambi.
Kwa
mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, mambo yafuatayo
huwaweka watu katika hatari kubwa ya kupatwa na kitambi :
1.
Ulaji mbovu wa chakula; Ulaji mbovu wa chakula ni ulaji usio
zingatia kanuni za mlo kamili. Hapa mtu hufululiza kutumia
chakula cha aina fulani pekee bila kuzingatia aina nyinginezo
za chakula. Mfano; mtu anaweza kuwa anakula mlo ufuatao :
Asubuhi : Mchemsho
ama supu ya ng’ombe , chapatti tatu na soda moja. Mchana :
Ugali nyama choma anashushia kwa maji na soda.
Jioni : Mchemsho wa kuku na bia mbili nakuendelea.
Usiku : Chips mayai au chips kuku au chips mishikaki na bia.
Mtu huyu akiendelea na utaratibu huu kwa muda mrefu, ni lazima atapatwa na kitambi.
2. Ulaji mfululizo wa vyakula vyenye mafuta mengi
3. Ulaji mfululizo wa vyakula vyenye wanga mwingi
4.Ulaji mfululizo wa vyakula vyenye sukari iliyo ongezwa ( added sugar ).
5.Ulaji mfululizo wa vyakula vya ngano.
6.Ulaji mfululizo wa vinywaji vyenye ngano na sukari.
7.Kutofanya mazoezi ya mwili na viungo ( physical exercises ).
Mhusika anapokuwa katika makundi yote yali yotajwa hapo juu, hali huwa mbaya zaidi.
NJIA ZA KUONDOA KITAMBI
Kuwa
na kitambi ni lugha ya mwili ( body-language ) inayo leta
ujumbe kwako kwamba “ Mwili wako haupo salama tena “
Kama
una kitambi maana yake una mafuta yasiyo hitajika mwilini,
mwili wako unatumika kuhifadhi mafuta usiyo yahitaji.
Hali
hii kitabibu imaanisha kwamba, ogani nyinginezo zilizomo ndani
ya mwili wako zinao gelea kwenye mafuta( fats ) yasihotika
yaliyomo ndani ya mwili wako, jambo linalo kuweka katika hatari
kubwa sana ya kushambuliwa na magonjwa hatari kama vile
shinikizo kubwa la damu, kiharusi na kisukari na kwa kutaja
machache.
Hivyo basi ili kuondokana na hatari hiyo, yakupasa kupambana kuondoa hayo mafuta yasiyo hitajika mwilini mwako.
NJIA ZA KUONDOA KITAMBI.
Unaweza kuondokana na kitambi kwa kufanya diet pamoja na mazoezi ya mwili na viungo.
Vilevile
unaweza kuondoa kitambi na kupunguza mafuta mwilini kwa
kutumia dawa asilia ya kuondoa kitambi na kuondoa mafuta
yasiyo hitajika mwilini.
DAWA ASILIA YA KUONDOA KIAMBI NA MAFUTA MWILINI.
Hii ni njia ya uhakika kabisa ya kuondoa tatizo la kitambi pamoja na mafuta yasiyo hitajika mwilini.
Unaweza
kuondoa tatizo la kitambi pamoja na kupunguza mafuta mwilini
kwa kutumia DAWA ASILIA IITWAYO YA MKATAA KITAMBI.
Dawa hii ni ya asili kabisa
“
Pure Herbal “, ambayo haijachanganywa na kemikali yoyote, haina
side effect kwa mtumiaji na inaondoa kabisa tatizo la kitambi
ndani ya siku kumi na nne.
JINSI DAWA YA MKATAA KITAMBI INAVYO FANYA KAZI.
1.Huyeyusha mafuta yasiyo hitajika mwilini.
2.Husaidia kupunguza hamu ya chakula.
3.Inazuia
kutengenezwa kwa seli za mafuta ( fat cells ) katika mwili wa
mwanadamu. Unapokula chakula chenye mafuta mengi, dawa hii asilia
hupambana kuyafanya mafuta hayo yasitengeneze seli za mafuta
mwilini mwako. Hali hii huuepusha mwili wako kuhifadhi mafuta
yasiyo hitajika mwilini.
4. Husaidia kupunguza uzito wa mwili kwa haraka sana endapo itatumika pamoja na diet ya kabechi.
UFANISI WA DAWA.
Ufanisi wa dawa hii ni wa asilimia mia moja. Dozi ya dawa hii hutumika kwa muda wa siki ishirini na moja.
MATOKEO YA DAWA:
Dawa hii huondoa kabisa kitambi ndani ya siku kumi na nne.
BEI YA DAWA :
Dawa hii inaoatikana kwa kiasi cha SHILINGI ELFU HAMSINI TU (Tshs. 50,000/=)
MAHALI TUNAPO PATIKANA.
Tunapatikana
jijini DAR ES SALAAM, katika eneo la UBUNGO karibu na SHULE
MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA.
KWA WATEJA WASIO WEZA KUFIKA OFISINI KWETU.
Kwa
wateja wasio weza kufika ofisini kwetu Tabata, tunao utaratibu
wa kuwafikishia dawa mahali popote walipo ndani ya jiji la
Dar Es salaam.
KWA WATEJA WA NJE YA DAR ES SALAAM.
Kwa wateja waliopo nje ya Dar Es salaam, tunawatumia dawa kwa njia ya MABASI.
Kwa wateja wa ZANZIBAR tunawatumia dawa kwa njia ya boti.
KWA WATEJA WA NJE YA NCHI:
Kwa wateja wa nje ya nchi, tunatumia dawa kwa njia ya POSTA au DHL.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA : 0766 53 83 84
Post a Comment