Huu ni ushindi wa bondia Manny Pacquiao katika siasa
Bondia mwenye jina kubwa katika ulimwengu wa ngumi Manny Pacquiao May 19 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kufanikiwa kushinda nafasi ya Seneta katika bunge nyumbani kwao Filipino, Pacquiao amefanikiwa kushinda nafasi hiyo kwa kura milioni 16. Pacquiao anakuwa ni miongoni mwa watu 12 waliofanikiwa kushinda nafasi ya Seneta katika bunge la Filipino, ushindi wa bondia huyo […]
The post Huu ni ushindi wa bondia Manny Pacquiao katika siasa appeared first on MillardAyo.Com.
Post a Comment