Mahakama nchini
India imepiga marufuku mechi za kriketi katika jimbo la Maharashtra kwa
sababu ya hali mbaya ya ukame katika eneo hilo.
Mahakama ilitupilia mbali mapendekezo kutoka kwa waandalizi kuwa watatumia maji machafu yaliyosafishwa kuandaa viwanja.
Katika sehemu zingine za jimbo hilo mabwagwa yamekauka huku hospitali zikilazimika kusitisha huduma.
Post a Comment