Kamati ya bunge
nchini Brazil imeidhinisha hatua ya kumuondoa madarakani Rais Dilma
Rousseff, na kutoa fursa ya kupigwa kura baadaye wiki hii kuamua ikiwa
ataondolewa ofisini.
Rais Rossef anakana madai ya kuvuruga akaunti za serikali ili kuficha kudorora kwa uchumi.
Amelaani hatua hiyo na kuitaja kuwa mapinduzi ya kisiaia. Shughuli za Rais zimehujumiwa na uchumi unaozidi kuzorota pamoja na sakata kubwa ya ufisadi inayoikumba kampuni ya mafuta ya serikali Petrobras.
Post a Comment