Chama kikuu cha
upinzani visiwani Zanzibar leo kinatarajiwa kutangaza mikakati yake na
msimamo kuhusiana na mzozo wa kisiasa wa Zanzibar.
Chama cha CUF visiwani Zanzibar bado kinaendeleza msimamo wake kususia kutambua matokeo na serikali iliyoundwa kufuatia uchaguzi wa marudio.
Hivi karibuni shirika la misaada la Marekani MCC lilisitisha msaada wa dola 487 kwa madai ya kutoridhishwa na hali ya kisiasa visiwani Zanziba

Post a Comment