0
Mkali kutoka kampuni ya Weusi G Nako May 20 2016 ameingia kwenye headlines, baada ya kuachia video mpya ya hit Single yake ya Arosto, G Nako ameachia video hiyo aliyowashirikisha Chin Bees na member mwenzake kutoka kampuni ya Weusi Nikki wa II.

Video hii ya G Nako amefanya mara mbili baada ya video ya kwanza kufanya na Nisher na hii ya pili iliyoachiwa leo imefanywa na directora Hanscana, bonyeza HAPA kuona video ya Arosto iliyofanywa na Nisher. Unaweza kuenjoy hapa kwa kutazama dakika nne za video yenyewe iliyoachiwa leo.

Post a Comment

 
Top