Mkamu mkuu wa chuo na uandishi wa habari na utangazaji Arusha akinzindua mashindano ya utangazaji chuon hapo
Mashindano ya utangazaji yaanza rashi
katika chuo na uandishi wahabari huku ikiwa lengo kuu ni kukuza vipaji
vya wanafunzi kwani inafaamika kuwa mashindano ndio nyanja muhimu inayo
wapeletekea watu kuwa na ufanisi mkubwa wa kazi
Kwakawaida swaala la mashindano ya utangazaji ilimekuwa likipewa kipaumbele kwani kilamwaka mashindano haya huanzishwa
moja ya wanafunzi katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha akiwa studio kwa lengo la kurusha vipindi mbalimbali
Hatahivyo inafaamika kuwa mashindano
nikitu muhimu katika kuleta maendeleo hivyo chu kimeweka mikakati
mbalimbali ya kuwawezesha au kuwa pongeza wale wote watakao fanya vyema
katika mashindano hayoi
wanafunzi wakisikiliza vipindi mbalimbali viki wakilishwa katika studio za AJTC
Post a Comment